01.12.2020 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 01.12.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

01.12.2020 Matangazo ya Asubuhi

Siku ya UKIMWI duniani/ Maswala mengi yameibuka nchini Israel kufuatia mauaji ya hivi karibuni ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran/ Nchini Zimbabwe wataalamu wanasema makaburi ya halaiki ya watu waliouawa yanazidi kugundulika/ Barua kutoka Dar/ Congo: Watu wanaoishi na ulemavu mkoani kivu ya kaskazini wameilaumu serikali kwa kutowasidia katika kuboresha miundo mbinu

Sikiliza sauti 51:59