1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.12.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S1 Desemba 2017

Mwenyekiti wa chama cha Social Democratic, SPD, Martin Schulz amekasirika kufuatia ripoti zilizoenea zinazozungumzia utayarifu wa chama chake kujiunga na mazungumzo ya kuunda serikali ya muungano wa vyama vikuu, yaani CDU/CSU na SPD. Martin Schulz anatahadharisha dhidi ya kuenezwa uvumi kama huo.

https://p.dw.com/p/2odHO