Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Rais John Magufuli wa Tanzania amepokea cheti rasmi cha ushindi wake wa urais wa taifa hilo la Afrika Mashariki.
Tuma Facebook Twitter Whatsapp Web EMail Telegram Facebook Messenger Web
Kiungo https://p.dw.com/p/3kjYd
Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai, asema wabunge 19 walioteuliwa na chama cha CHADEMA kwa ajili ya viti maalumu na kisha kuapishwa ni wabunge halali isipokuwa wao wenyewe waamue vinginevyo.
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ameapishwa leo kuendelea na wadhifa huo kwa muhula wa pili madarakani, kufuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 28.
Polisi nchini Tanzania imewakamata viongozi kadhaa wa upinzani kwa madai ya kupanga maandamano yasio na kibli, baada ya kukituhumu chama tawala CCM kwa kufanya udanganyifu kwenye uchaguzi mkuu
Vyama vikuu viwili vya upinzani nchini Tanzania vinataka uchaguzi urudiwe tena, na wanawahimiza wananchi kumiminika barabarani kwa "Maandamano ya amani" kuanzia Jumatatu.