01.09.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 01.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

01.09.2020 Matangazo ya Jioni

Tanzania: Chama cha ACT Wazalendo kinazindua kampeni zake/ Daktari Mukwege ameuhimiza Umoja wa Ulaya kuwawajibisha watu wanaoshukiwa kufanya uhalifu wa kivita mashariki mwa Congo/ Omar al-Bashiri amefikishwa mahakamani/ Guinea: Chama cha rais kimetangaza kuwa rais atawania tena urais kwa muhula mwingine/ Guterres ametahadharisha kwamba janga la COVID-19 limeongeza kukosekana kwa usawa wa kijinsia

Sikiliza sauti 60:00