1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.08.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S1 Agosti 2019

Ikiwa leo ni Mwaka mmoja tangu kutangazwa kwa mripuko wa homa ya Ebola katika eneo la kaskazini mashariki ya Congo, homa hiyo bado haijadhibitiwa na matabibu na hilo linawapelekea wakaazi kuishi katika hali isiyo ya kawaida// Tanzania- Mawakilishi wa mwandishi habari za uchunguzi Erick Kabendera wamepeleka shauri katika mahakamani ya kisutu mjini Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/3N9Xw