Burundi leo inaadhimisha miaka 58 tangu ilipopata uhuru wake kutoka kwa mkoloni Ubelgiji// Nchini Ethiopia kunatokota, zaidi ya watu 50 wamefariki dunia kufuatia maandamano// Mapema wiki hii, China imeanzisha sheria yake ya usalama wa kitaifa kuhusu Hong Kong// Human Rights Watch- Serikali kote ulimwenguni zinatakiwa kuzipa kipaumbele haki za watoto katika sera na hatua zao za kuyalinda mazingira.