1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.06.2021 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

1 Juni 2021

Mataifa kadhaa ya Ulaya yametaka kupatiwa majibu kuhusu madai ya udukuzi wa Marekani. Mjumbe Maalum kwa Yemen amesema anafadhaishwa na kutofikiwa makubaliano ya kusitisha mapigano. Raia wa jimbo la Somaliland wanasubiri matokeo ya uchaguzi wa Bunge na serikali za mitaa.

https://p.dw.com/p/3uFQj