1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.03.2016: Taarifa ya Habari, Asubuhi, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

V2 / S12S1 Machi 2016

Tuliyonayo asubuhi hii: Wasiwasi unaongezeka kwenye eneo la Idomeni ambako mamia ya wakimbizi wanajaribu kuvunja uzio ulioko kwenye mpaka wa Ugiriki na Macedonia//Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, John Kerry amesema pande zote zinazopambana nchini Syria huenda zimekiuka makubaliano ya kusitisha mapigano// Maafisa wa Morocco wamekubali kuwapokea raia wa nchi hiyo wanaorudishwa kutoka Ujerumani.

https://p.dw.com/p/1I4Xn