1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zanzibar: Mahojiano na waziri wa Fedha na Mipango

23 Juni 2011

Serikali ya Zanzibar imeihitimisha mchakato wa kuitetea bajeti yake ya mwaka wa fedha wa 2011/2012.

https://p.dw.com/p/11i5o

Bajeti hiyo inayapa umuhimu zaidi masuala ya elimu, afya, kilimo na uwezeshaji wa wananchi. Mohammed Khelef amezungumza na Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar, Omar Yusuf Mzee, na kwanza alitaka kujuwa ni vipi serikali ya Zanzibar inaweza kupata fedha za kutekeleza vipaumbele hivi katika wakati ambapo hali ya kiuchumi ni mbaya.

Mahojiano: Mohammed Khelef/Omar Yussuf Mzee

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman