1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zaidi ya 2017 wafariki Bangladesh

18 Novemba 2007
https://p.dw.com/p/CIlp

DHAKA:

Waokozi nchini Bangladesh wakipigana leo kukiuka njia zilizoathiriwa na kimbunga cha hivi juzi kuwafikia maalfu ya watu walionusurika na maisha na wa naosubiri misaada katika majumba yao yalioporomoka.Idadi ya waliofariki hadi sasa imefikia 2.217.

Mashirika ya misaada yamesema hii leo kwamba bado hayajwafikia wahanga wwengi wa kimbunga hicho.juhudi za uokozi zinakumbana na pingamizi kwavile njia nyingi hazipitikiti kutokana na kun’goka kwa miti mingi.