1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Yericko Nyerere azungumzia orodha ya watu hatari

Mohammed Khelef
27 Februari 2018

Mkurugenzi wa Kampuni ya CZI, Cyprian Musiba, ametaja orodha ya watu hatari kumi katika usalama wa Tanzania. Katika orodha hiyo yumo Yericko Nyerere ambaye ni mwanaharakati na mwandishi wa vitabu. DW imezungumza naye kwenye Kinagaubaga.

https://p.dw.com/p/2tO71