1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

YANGON:Wapinzani zaidi watiwa ndani Mynmar

7 Oktoba 2007
https://p.dw.com/p/C7Hp

Licha ya miito iliyotolewa na jumuiya ya kimataifa utawala wa kijeshi nchini Mynmar unaendelea kuwakamata wapinzani wanaopigania demokrasia .Habari zinasema wapinzani wengine karibu 80 wametiwa ndani .nchini humo.