1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waziri mkuu wa Tanzania ataja mali zake

14 Januari 2010

Nchini Tanzania,Waziri Mkuu Pinda ameonesha mfano wa kutaja mali zake kama inavyotakiwa kwa kila kiongozi wa serikali kuweka hadharani utajiri wake, ambapo viongozi wengi nchini humo wamekuwa wakisuasua kufanya hivyo.

https://p.dw.com/p/LVtS

Waziri Mkuu alionesha mfano huo leo wakati wa mkutano wake na wahariri wa vyombo vya habari nchini humo na waandishi waandamizi, ambapo alitumia utaratibu wa maswali na majibu papo kwa hapo.

Kutoka Dar es Salaam, Christopher Buke anaarifu zaidi...