1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waziri Mkuu wa Japan Yasuo Fukuda ajiuzulu

2 Septemba 2008

Japan iko katika harakati za kumtafuta waziri mkuu mpya kufuatia kujizulu ghafla kwa aliyekuwa waziri mkuu wake Yasuo Fukuda hapo jana.

https://p.dw.com/p/F9BE
Yasuo Fukuda ajiuzulu uwaziri mkuu wa JapanPicha: AP

Fukuda amepongezwa na mataifa mengi ya nje kama vile China ambayo imesema kuwa katika kipindi cha takriban mwaka mmoja tu wa kuwa madarakani alifanya mengi katika kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili.Lakini kwa ndani kujiuzulu kwake kuwasha moto wa kisiasa.


Kutoka Tokyo Japan Ali Attas ametuandalia taarifa ifuatayo.