1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waziri Mkuu wa Italia, Matteo Renzi kujiuzulu.

5 Desemba 2016

Waziri Mkuu wa Italia, Matteo Renzi atangaza kujiuzulu baada ya kushindwa kwenye kura ya maoni kuhusu mabadiliko ya katiba, Mahakama kuu ya Uingereza inasikiliza ombi la serikali ya kutaka kuendeleza mchakato wa BREXIT na Upinzani nchini Ghana wakosoa demokrasia nchini humo.

https://p.dw.com/p/2TlKQ