1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waziri Mkuu Raila Odinga wa Kenya atembelea eneo la Mto Tana

Samia Othman24 Agosti 2012

Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga leo (24.08.2012) amelitembelea eneo la Mto Tana ambalo siku chache zilizopita lilikumbwa na ghasia za kikabila ambazo ziliuwa watu zaidi ya hamsini.

https://p.dw.com/p/15wKG
Waziri Mkuu wa kenya Raila Odinga
Waziri Mkuu wa kenya Raila OdingaPicha: AP

Daniel Gakuba amezungumza kwa njia ya simu na mwandishi wa habari John Juma ambaye aliifuatilia ziara hiyo ya Raila Odinga na ameanza kwa kuelezea kile Waziri mkuu huyo alichowaeleza wananchi walioathirika kutokana na ghasia hizo.

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Daniel Gakuba

Mhariri: Mohamed Abdulrahman

Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman