1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

"Watu bado wako mashakani lakini maisha yaendelea"

Baada ya watu wasiopungua 31 kuuliwa katika mashambulio ya kigaidi Brussels, Manirabona Vianey ambaye ni mkazi wa jiji hilo anaelezea hali ya mambo, maisha yalivyo kwa sasa na usalama ulivyoimarishwa.

Sikiliza sauti 03:12

Manirabona Vianey katika mahojiano na Isaac Gamba

Sauti na Vidio Kuhusu Mada