1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watoto waliokimbilia Ujerumani bila wazazi

Mohamed Karama Dahman22 Septemba 2016

Maelfu ya watoto na vijana wanakimbilia Ujerumani bila kuandamana na familia zao, wengi wanatokea Syria, Afghanistan au Somalia. Kuna takriban watoto 9,000 wasiojulikana walipo Ujerumani na kuna hofu kubwa kwamba wanaweza kutumiwa vibaya kwa urahisi na wahalifu wa biashara ya madawa wa kulevya, makuwadi na hata wale wenye misimamo mikali ya dini ya Kiislamu wenye kuhubiri chuki.

https://p.dw.com/p/1K6cp