1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watoto Geita walazimika kuchagua kati ya chakula na masomo

Hawa Bihoga13 Aprili 2016

Ingawa serikali ya Tanzania inataka kutoa elimu kwa kila mtoto, baadhi ya watoto wa mkoani Geita wamesema wanapendelea kufanya kazi migodini au kuvua samaki kwani familia zao hazina pesa ya kutosha na hawataki kulala njaa. Hawa Bihoga amewatembelea na kushuhudia hali ya maisha yao.

https://p.dw.com/p/1IUPH