1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wataalamu wa kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

18 Septemba 2007

Wataalamu wa kijeshi wa jumuiya ya kimataifa na wale wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamekutana mjini Kinshasa kwa ajili ya kutafakari kuhusu mageuzi ya sekta ya kiusalama na muundo wa jeshi nchini humo.

https://p.dw.com/p/CH84
Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo kutoka Kinshasa.