1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wasiwasi Kenya

Sudi Mnette
25 Oktoba 2017

Jaji mkuu wa Kenya amelazimika leo kuahirisha kusikilizwa pingamizi juu ya kufanyika au kucheleweshwa kwa uchaguzi mpya wa rais, kwa kuwa ni majaji wawili tu kati ya saba wamefika mhakamani leo. Na Wakurd wa Iraq wasimamisha kwa muda matokeo ya kura ya maoni ya kutaka kujitenga na Iraq.

https://p.dw.com/p/2mUGa