WASHINGTON: Wanajeshi wa Marekani kufikishwa mahakamani | Habari za Ulimwengu | DW | 20.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

WASHINGTON: Wanajeshi wa Marekani kufikishwa mahakamani

Wanajeshi 2 wa Marekani watafikishwa mbele ya mahakama ya kijeshi kwa mashtaka yanayohusika na mauaji ya raia wa Kiiraki katika mji wa Haditha nchini Irak.Inatuhumiwa kuwa Novemba mwaka 2005, wanajeshi wa Kimarekani waliwaua Wairaki 24 kulipiza kisasi kifo cha mwanajeshi mwenzao mjini Haditha.Miongoni mwa Wairaki waliouawa,10 walikuwa wanawake na watoto.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com