Washington: Shirika la fedha la kimataifa launga mkono amarekebisho. | Habari za Ulimwengu | DW | 21.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Washington: Shirika la fedha la kimataifa launga mkono amarekebisho.

Shirika la fedha la kimataifa-IMF, limeunga mkono marekebisho yenye lengo la kuimarisha msimamo wa nchi zinazoendelea katika shirika hilo. Watungaji sera kutoka shirika hilo la fedha pia wameahidi kupunguza matumizi na kuimarisha uwajibikaji. Mkutano wa mwaka huu wa Shirika la fedha la kimataifa na Benki ya dunia umekuja wakati kukiwa na ukuaji wa taratibu wa uchumi duniani na kupanda kwa bei ya mafuta.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com