Warsha ya Elimu juu ya amani iliyofanyika mjini Mombasa,Kenya | Masuala ya Jamii | DW | 16.09.2009
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Warsha ya Elimu juu ya amani iliyofanyika mjini Mombasa,Kenya

Mkutano wa siku tatu wa mawaziri wa elimu kutoka mataifa yanayokabiliwa au kuwahi kukumbwa na mizozo barani Afrika, umemalizika jana Mjini Mombasa Kenya.

Mawaziri wakipitisha azimio la kujumuishwa kwa somo la kudumisha amani kwenye utaratibu wa masomo katika nchini zao

Mwandishi wetu Eric Ponda amekuwa akifuatilia mkutano huo na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 16.09.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/JiGn
 • Tarehe 16.09.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/JiGn

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com