Ikiwa imesalia miezi sita kabla ya uchaguzi wa rais na wa bunge nchini Kenya, viongozi wa makundi mbalimbali ya wanawake nchini humo yameanza kuandaa mikutano na warsha za kuwaelimisha wanawake kuhusu umuhimu wa uongozi kwenye nchi na serikali.
https://p.dw.com/p/CHDJ
Matangazo
Kutoka Nairobi, Mwai Gikonyo ametuandalia taarifa ifuatayo.