Warsha katika kituo cha Demokrasia nchini Tanzania | Matukio ya Kisiasa | DW | 28.04.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Warsha katika kituo cha Demokrasia nchini Tanzania

Wadau wa masuala ya demokrasia, vyama vya siasa na asasi zisizo za kiserikali wamekutana leo jijini Dar es Salaam Tanzania.

default

Jiji la Dar es Salaam kuliko fanyika warsha wa masuala ya demokrasia

Mkutano huo ni wa kujadili majukumu ya vyombo vya habari, vyama vya siasa na asasi za kiraia katika kuendeleza demokrasia nchini.

Hawra Shamte alihudhuria warsha hiyo na hii hapa ripoti yake.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com