1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wa Irak kaskazini wanaendeleza harakati za kutafuta haki

18 Oktoba 2006

Miaka 18 iliyopita wanawake hao waliwapoteza wapendwa wao katika operesheni iliyoitwa Anfal iliyo endeshwa na askari wa Saddam Hussein.

https://p.dw.com/p/CHmL
Sikiliza kipindi cha wanawake na amaendeleo kutoka radio DW idhaa ya kiswahili.