1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake Saudi Arabia ruksa kuendesha gari

Daniel Gakuba
27 Septemba 2017

Saudi Arabia imeondoa marufuku kwa wanawake kuendesha gari, Kansela Angela Merkel aongoza kikao cha kwanza cha wabunge wa chama chake -CDU baada ya uchaguzi wa Septemba 24, na huko Kenya, Mkutano wa tume ya uchaguzi na mipaka, IEBC na kambi kuu za kisiasa nchini humo waahirishwa kutokana na tofauti juu ya mada. Papo kwa Papo 27.09.2017

https://p.dw.com/p/2kp7R