1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake na mitandao ya kijamii Afrika Mashariki

Sudi Mnette
8 Desemba 2017

Kongamano la kikanda la masuala ya teknolojia na wanawake limemaliozika mjini Nairobi. Mkutano huo ulioandaliwa na Chuo cha mafunzo cha Deutsche Welle- cha mjini Bonn DW- Akademie ulikuwa na lengo la kujadili changamoto zinazoletwa na matumizi ya mitandao kadhalika njia za kujikingika na athari zake.

https://p.dw.com/p/2ox8e