1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanasheria wataka ZEC ifute tamko la kubatilisha uchaguzi

Elizabeth Shoo30 Oktoba 2015

Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) kimetoa wito kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kufuta tamko la kufuta matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar kwa kuwa halina nguvu kisheria na linaweza kuhatarisha amani.

https://p.dw.com/p/1Gx3o
Wapiga kura Zanzibar
Picha: DW/M. Khelef

[No title]