1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

"Wanaoteuliwa kinyume na matarajio ya watu hawaendi kufanya kazi"

Waziri Mkuu mpya wa Tanzania, Kassim Majaliwa, hajawahi kushikilia wadhifa mkubwa kitaifa. Kutokana na hali hiyo, hakuwa tegemeo la wengi kupewa nafasi ya uwaziri mkuu. Mchambuzi Julius Mtatiro atoa maoni yake.

Sikiliza sauti 03:00

Julius Mtatiro katika mahojiano na Daniel Gakuba

Sauti na Vidio Kuhusu Mada