1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Wanamgambo 20 wa Islamia wauwaa

BEIRUT:

Si chini ya waislamu 20 wenye siasa kali wanasemekana wameuwawa leo katika mapigano na jeshi la Lebanon waliopojaribu kutoroka kutoka kambi ya wakimbizi wa kipalestina huko kaskazini mwa Lebanon.

Wapiganaji 10 wengine kutoka kundi la wanamgambo wa -FATAH AL-ISLAMI- walitiwa nguvuni walipojaribu kukimbia kutoka kambi ya Nahr al-Bared.Jeshi la Lebanon lilikisia wapiganaji kiasi cha 35 walibakia katika kambi hiyo kabla hujuma ya leo.Hatahivyo, haikuwa wazi iwapo wameuwawa katika zahama hiyo.wote walijaribu kuihama.Wanajeshi 2 wa Lebanon pia

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com