1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanaharakati na mitandao ya kijamii

Elizabeth Fredrick Shoo14 Julai 2016

Twitter, Facebook, Instagram na WhatsApp zimekuwa nyenzo muhimu kwa raia kudai haki zao duniani kote. Wiki hii kipindi cha "Sema Uvume" kinaangazia mauaji ya watu weusi Marekani na mjadala unaofanyika kupitia #BlackLivesMatter. Huko Zimbabwe Mchungaji Evan Mawarire amepata umaarufu kwa kampeni za #ThisFlag na #ZimbabweShutdown.

https://p.dw.com/p/1JP1U