1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waliokumbwa na mafuriko Dar es Salaam warejea kwenye makaazi yao

27 Desemba 2011

Wakati jiji la Da es Salaam likianza kurejea katika hali yake ya kawaida baada ya kukumbwa na mafuriko, wananchi walioathirika wameanza kurudi katika makazi yao ya mabondeni, kinyume na wito wa kuwataka kuondoka.

https://p.dw.com/p/13Zhh
Mafuriko
MafurikoPicha: CC/Stuart.Bassil

Serikali imekuwa ikitupiwa lawama kwa kuruhusu ujenzi holela katika maeno hayo, huku ikijua fika kuwa ni maeneo ya hatari. Aboubakary Liongo ametembelea moja ya vituo vya kuwahifadhi waathirika wa mafuriko hayo, eneo la Kigogo,

Ripoti: Aboubakary Liongo
Mhariri: Othman Miraji