1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waliobakwa Kenya wadai haki zao

20 Juni 2018

Wahanga wa dhuluma za kijinsia na watoto wao wanaishinikiza serikali kuwatambua. Umepita muongo mmoja tangu ghasia za baada ya uchaguzi kutokea nchini Kenya. Wanawake waliobakwa wakati huo bado wanalilia haki.

https://p.dw.com/p/2zuHK
Wahanga wa ubakaj
Picha: picture-alliance/dpa

J1 20.06.2018 Kenya: Plight of children born of rape - MP3-Stereo