1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Walibya 2 wanyakuliwa Mogadishu

---

MOGADISHU:

Wasomali walishika bunduki waliwanyakua hii leo wajumbe 2 wa kibalozi wa Libya mjini Mogadishu.Wajumbe hao walitekwanyara katika mtaa wa soko la Bakara mara tu walipotoka nje ya afisi yao kusini mwa Mogadishu.Dereva wao alirudi kann kuarifu kuwa watu waliokua na bunduki wamewanyakua.

 • Tarehe 05.01.2008
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/CklW
 • Tarehe 05.01.2008
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/CklW

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com