Wakimbizi: Maisha mapya Uganda | Masuala ya Jamii | DW | 31.03.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Wakimbizi: Maisha mapya Uganda

Anayekimbilia Uganda kutoka nchini mwake anaruhusiwa kujenga nyumba, kufanya kazi huko na akiwa na bahati, anapatiwa hata kiwanja. Hii ni sehemu ya mpango wa kiuchumi na kisiasa wa Uganda.

DW inapendekeza