1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wageni wasiotambulika

Amida Issa29 Aprili 2015

Familia ya Anna inaishi katika hali ya hofu kubwa ya kupoteza maisha yake wakati wowote, kwani tayari wamegunguliwa watu wenye kutia wasiwasi sehemu anakoishi huku wengine wakifika kuomba nywele za mwnamke huyo mlemavu.

https://p.dw.com/p/1FH9x
Albino Frauen in Ruyigi, Burundi
Picha: picture-alliance/ dpa

Nchini Burundi ambako tayari watu wenye ulemavu wa ngozi karibu 20 wameuwawa kwa hisia za kishikina, bado usalama wa watu hao uko hatarini. Mjini Bujumbura, mwandishi wetu Amida Issamemtembelea Anna mwenye umri wa miaka 30 ambaye anaeleza kuhusu nyakati za wasiwasi.

Kusikiliza ripoti yake, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mhariri: Mohamed Abdul-Rahman