1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waasi wa M23 Wagawanyika

Admin.WagnerD28 Februari 2013

Mpasuko umekikumba chama cha waasi wa M23 mashariki Mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Hali inayotajwa kutokana na shutuma mbalimbali miongoni mwa viongozi wa kundi hilo la waasi.

https://p.dw.com/p/17nW7
In this Monday, Oct. 22, 2012 photo, Bishop Jean-Marie Runiga, president of rebel group M23, addresses a rally in Bunagana, eastern Congo. Runiga said Saturday that fighting may resume soon in eastern Congo if President Joseph Kabila's government does not negotiate with the M23 rebels. A United Nations report accused Rwanda and Uganda of supporting the rebellion, which the U.N. estimates has caused at least 320,000 villagers in the province of North Kivu to flee their homes this year.(Foto:Stephen Wandera/AP/dapd)
Askofu Jean-Marie Runiga na wapiganaji waasi wa M23Picha: AP

Hali ya kutoelewana iliyojitokeza katika chama hicho, imempelekea kiongozi wa tawi la jeshi wa chama cha M23 generali Makenga Sultani kumuondoa madarakani kiongozi wa tawi la siasa kasisi Jean-Marie Runiga. Hata hivyo upande unaomuunga mkono kasisi Runiga haujakubaliana na hatua iliyochukuliwa na mkuu wa jeshi lao. Sikiliza ripoti ya John Kanyunyu na kutoka Goma kwa kubonyeza kitufe cha alama za kusikilizia masikioni hapo chini.

Mwandishi John Kanyunyu
Mhariri Josephat Charo