1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waasi wa Laurent Nkunda waomba mazungumzo ya moja kwa moja na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

17 Septemba 2008

Hali ya mashariki mwa DRC inaendelea kuwa ya wasiwasi kutokana na mapigano yanayoendesha na waasi wa CNDP wanaongozwa na Laurent NKUNDA dhidi ya majeshi ya serikali ya nchi hiyo.

https://p.dw.com/p/FJfi
Watu wanauhama mji wa Kivu kutokana na mapigano yanayoendeleaPicha: AP

Mashirika ya misaada ya kiutu yamechanganyikiwa kutokana na uwingi wa wahamiaji vita wa Kivu ya kaskazini na kusini.Waasi wa Laurent Nkunda wametishia kutotekeleza makubaliano ya amani ya GOMA na kuomba mazungumzo ya moja kwa moja na serikali ya Kongo.

Taarifa kamili na mwandishi wetu saleh Mwanamilongo.