1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waasi wa Darfur wameafikiana kufanya mazungumzo ya amani na Serikali

7 Agosti 2007

Makundi 8 ya waasi wa eneo la Darfur nchini Sudan wameafikiana kufanya mazungumzo na serikali. Hata hiyo muhimu inafikiwa baada ya kikao cha siku 3 mjini Arusha,Tanzania kilichofadhiliwa na Umoja wa mataifa na Afrika.

https://p.dw.com/p/CB28
Kambi ya Wakimbizi Darfur
Kambi ya Wakimbizi DarfurPicha: AP