1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Waangalizi: Hali Uganda ni shwari

Maandalizi ya uchaguzi mkuu wa Uganda yanazidi kushika kasi na ujumbe wa waangalizi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki umewasili Kampala. Msemaji wa ujumbe huo, Abdullah Makame, aeleza hali ilivyo.

Sikiliza sauti 02:29

Abdullah Makame katika mahojiano na Sudi Mnette

Sauti na Vidio Kuhusu Mada