1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vyombo vya Mawasiliano na Habari– Kipindi 2 – Magazeti, Radio au Televisheni? Hilo ndilo swali.

11 Novemba 2010

Sister P,Young Junior na Charlie ni wahusika katika klabu iitwayo Dot Com na wote wanataka kazi ya muziki.Lakini kuna tatizo moja, radio ya taifa imekataa kupiga nyimbo zao.Kwa hivyo wamepata fikra mpya, ni ipi?

https://p.dw.com/p/Q2ei