1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vyama vya siasa na makundi ya wanamgambo

Mohammed Abdulrahman Mohammed9 Oktoba 2015

Demokrasia ya vyama vingi barani Afrika ina vikwazo vingi, kimojawapo ni kile cha vyama ambavyo vimeamua kufanya siasa lakini haviuamini mchakato huo kuwa wa kiraia na badala yake wanaupa taswira ya kuwa mchakato wa kijeshi kwa kujiundia matawi ya kijeshi ndani yake, ambayo hubeba silaha na kusababisha ukosefu wa usalama, kama inavyosema makala hii ya Mohammed Abdulrahman.

https://p.dw.com/p/1GlrB