Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, viwanda vidogo vidogo vinakuwa na kukuza kiwango cha maisha ya Wakongomani na pia kuongeza mapato kwa serikali yao.
Chupa zikisanifiwa upya nchini DRC
Katika makala hii ya Mapambazuko Afrika, John Kanyunyu, anazungumzia namna ambavyo sekta ya viwanda vidogo vidogo inavyotanuka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na namna viwanda hivyo vinavyoyabadili maisha ya watu.
Mtayarishaji: John Kanyunyu
Mhariri: Othman Miraji