Vita dhidi ya rushwa yashika kasi Tanzania | Matukio ya Afrika | DW | 04.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Vita dhidi ya rushwa yashika kasi Tanzania

Makontena yaliyopitishwa bila kodi yagunduliwa bandarini, mabilioni ya fedha yatoweka katika miradi ambayo haikutekelezwa. Watanzania wanauliza imekuwaje rushwa ikafumbiwa macho kwa miaka mingi hivyo.

Sikiliza sauti 03:16

Mchambuzi Hebron Mwakagenda katika mahojiano na Saumu Mwasimba

Sauti na Vidio Kuhusu Mada