1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vipindi vya Noa Bongo vyaanza kurekodiwa mjini Mombasa

8 Aprili 2010

Ni katika juhudi za kuihamasisha jamii kuhusu maswala mbalimbali

https://p.dw.com/p/MpKA
Ipo haja ya jamii ya kujifunza kuhusu mchezo wa kandandaPicha: AP

Shirika la habari la Deutsche welle linaendelea kuihusisha jamii kwa kuuhamasisha umma kupitia vipindi vya kuelimisha na kuburudisha vya Noa Bongo Jenga Maisha Yako. Miongoni mwa mada zinazozingatiwa safari hii ni mchezo wa kandanda.

Kwa wakati huu mwandishi wetu Thelma Mwadzaya yupo mjini Mombasa Kenya kuandaa vipindi hivyo. Peter Moss amezungumza naye hivi punde na kwanza anaelezea jinsi shughuli zinavyoendelea.