1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa kanisa waonya amani ya Tanzania ipo hatarini

Bruce Amani
26 Machi 2018

Baraza la Maaskofu la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania - KKKT, limewaomba Watanzania kuupitia waraka wa ujumbe wa Pasaka uliotolewa na kanisa hilo, ukiwaonya wanasiasa dhidi ya kuwagawanya Watanzania.

https://p.dw.com/p/2v0Df

Kanisa limesema litazungumzia kitu chochote kinachotokea nchini humo na kwenda kinyume na mapenzi ya Mungu. Sikiliza mahojiano na mchambuzi wa masuala ya siasa Tanzania Richard Shaba.