1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Vijana wapata fursa za maonyesho ya biashara

Vijana walichangamia fursa za kujiimarisah kiuchumi katika maonyesho ya biashara ya saba saba yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Mwandishi wetu wa Shinyanga, Veronica Natalis, alikaa na kuzungumza na baadhi ya vijana.

Sikiliza sauti 09:45

Sikiliza Vijana Tugutuke na Veronica Natalis

Watu wengi walijitokeza katika maonyesho ya mwaka huu.

Bidhaa kama hizi zilionyeshwa katika vibanda mbalimbali katika maonyesho hayo.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada