1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana na umaarufu wa ghafla

John Juma1 Julai 2016

Je, ni umaarufu upi unaofaa kwa vijana? Ni ule wa kujitafutia au unaokufuata kutokana na kazi au kipaji? Je, umaarufu huleta tija zipi? Na ni kwa njia gani umaarufu umeathiri maisha ya vijana? Ni miongoni tu mwa maswali anayoyaangazia John Juma kwenye makala ya Vijana Mchakamchaka.

https://p.dw.com/p/1JHDb